DeSales Marketing Agency. Ni biashara ya kujitegemea ambayo imejikita katika kusaidia kutafuta na upatikanaji wa soko kwa huduma na bidhaa zitokanazo Tanzania na nje ya nchi.
Ni biashara inayotoa dira kwa kila mmoja kuweza kujikwamua kimaisha kwa kufanya kazi kwa umoja na kuchangia gharama za uendeshaji kwa kukuza mitaji tulionayo.
Ni biashara ya kutengeneza mtandao wa wateja katika kuuza na kununua bidhaa mbalimbali kwa faida ya pamoja
Lengo la biashara ya DeSales Marketing Agency
Kutengeneza ajira ya ziada kwa watu wote
Kuteneneza pesa kwa mtu
Kusaidia kupata soko kwa wauzaji ,kampuni ama wamiliki
Kuunda umoja wa kukuza mitaji na biashara kwa pamoja kwa kuweka mfumo wa pamoja.
Kwa nini ujiunge na DeSale Marketing
Unapatanafasi ya kumiliki biashara
Unapata nafasi ya kusoma na kujifunza
Unakupa uchaguzi kuifanya kulingana na muda wako
Mtaji mdogo wa kuanzia
Kupata mtandao na kujenga umoja
Our Services
Desale marketing is direct selling companies, offering meaningful services in diverse markets. Our focus is to enable people to rise through solutions that power entrepreneurship and enhance lifestyles
It enables ordinary people from all walks of life to start their own business with minimal overhead. With hard work and dedication and have the opportunity to become economically self-sufficient, improving the lives of their families and communities as well as helping others to achieve their dreams.
START EARNING TODAY! Want to be part of the thriving family of Desale Markting Network,There are so many benefits you can enjoy with us.
As an Agent you will..
Receive all the training you need
Receive all the tools you need
Work from home and be your own boss.
Earn more, the more effort you put in you Earn thousands of shulings in commission selling our product.
A brand new catalogue
An agent commission statement showing how much you’ve earned!
Tips on how to make more sales and networking.
Elimu na Ujuzi
Kupata ujuzi mbalimbali wa ujasiriamali bure kila Mara ili kila mmoja aweze kujiajiri. Mfano:Kusuka,kufuma,kushona,Kuuza na kutengeneza sabuni,batiki,vitafunwa.
Kupata huduma ya ushauri vyuo gani usome na kozi gani usome na vingine katika vyuo vyetu mbalimbali vilivyopo
Kukufanya uwe mkulima na mfugaji nje ya shamba
Kupata kulima nakufuga bila kuwepo shambani na wengine kusimamia biashara yako ya kilimo au ufugaji wa shamba lako au la ofisi
Kuongeza kipato
Kupata ni miongoni mwa wamiliki wabiashara ambapo utagawana faida na mmiliki wa biashara kwa kamisheni. Kila MTU anauwezo wa kujiajiri kwa muda wa ziada au full time.
Huduma ya vyakula
Tunauza vyakula. Na utapata nafasi ya kupata vyakula mbalimbali vikiwemo Michele, unga, mafuta, sabuni kwetu kama zawadi yako bure
Kuwaunganisha wengine
Kujenga mtandao mpana ndio kipimo cha faida utakayoipata kubwa zaidi katika biashara ya kipato .Kadri unavyowaingiza wengine unajipatia nafasi yakuongeza kipato cha asilimia 40% kila mmoja anapoingia.
Mauzo na manunuzi
Kila unapouza ama kununua utapata faida ya asilimia 4%-10% kwa faida inayopatikana kwa kununua kwetu na kuletewa hadi nyumbani au ofisini kwako.